Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Monday, July 27, 2015

KONGAMANO LA DIASPORA ( DIASPORA INVESTMENT CONFERENCE) DAR ES SALAAM 13-15 AGOSTI 2015



Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy kupitia Jumuiya ya Watanzania Roma,  unapenda kuwafahamisha kuwa, Wizara ya Mambo ya Nje kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais na Utawala Bora — Zanzibar na Ofisi ya Waziri Mkuu zinaandaa Kongamano la Diaspora (Diaspora Investment Conference) litakalofanyika katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam tarehe 13 — 15 Agosti 2015. Aidha imependekezwa kwamba tarehe 15 Agosti 2015

Diaspora watafanya ziara ya kwenda Zanzibar kwa mwaliko wa Serikali ya Zanzibar.

Kongamano hili litafunguliwa na Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na litafungwa na Mhe. Ali Mohamed Shein, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Kongamano la mwaka huu lina kaulimbiu "Creating linkages between Diaspora and Local SMEs in Tanzania" na litajikita katika kuhamasisha ushiriki wa Diaspora katika kukuza biashara ndogo na kati. Aidha kongamano hili pia litahusisha Mikoa ya Tanzania ambapo watapata nafasi ya kunadi fursa za uwekezaji zilizopo Mikoani.

Matukio muhimu yatakuwa ni maonesho ya kibiashara, mada na majadiliano kuhusu ushirikishwaji wa Diaspora kwa maendeleo ya nchi hususan SMEs, uwekezaji mikoani nk.

Tafadhali upatapo ujumbe huu mfahamishe na mwenzako maana kongamano hili  ni muhimu kwa Watanzania wote wishio nje ya nchi. Ghalama zote ni za mshiriki.

No comments:

Post a Comment