Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, April 29, 2015

Sherehe za Miaka 51 ya Muungano wa Jamhuri ya Tanzania zafana mjini Roma


Ubalozi wa Tanzania Roma, kwa kushirikiana na Tanzania Diaspora ya Italia, tarehe 25 Aprili 2015 walisherehekea miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo ambazo zilifanyika katika ukumbi wa Ubalozi mjini Roma zilifana sana.



Mhe. Balozi Dr. James Alex Msekela ( mwenye necktie) akigonganisha bilauri na Bw. S. M. Mbilinyi, Mkuuwa Utawala, katika sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya Muungano wa Tanzania. Kulia ni Mh. Nsangu Kagutta, Mwenyekiti wa Kamati ya Diaspora Tanzania Italy. Sherehe hizo zilifanyika Ubalozini Roma jioni ya terehe 25 Aprili 2015.


Mhe. Balozi (kati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi  Napoli


Baadhi ya wahudhuriaji wakibadilishana mawazo kwenye sherehe za  Muungano.


Mh. Balozi akipata picha ya pamoja na mtoto wa Mwenyekiti wa Kamati ya Diaspora ya Tanzania, Italy


Kutoka kushoto: Bw.Bakari, Bw. Mbilinyi na  Bi. Lilian wakiwa na nyuso za furaha kwenye sherehe za Muungano


Mhe. Balozi James Msekela akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Tanzania Diaspora in Italy, Bw. Andrew Chole Mhella (kushoto) na Bw.Mnyamani (kulia) kutoka Napoli

Bw. Ayoub Mndeme, Mwambata Kilimo akiwa na mama Mndeme kwenye sherehe za Muungano.



Afisa wa Ubalozi, Bw. Karim Msemo, na mke wake wakiwa kwenye picha  na Bi. Felista Kayombo, ambaye pia ni mtumishi wa Ubalozi.

 
 
 

 
 
 

 
 
 

 
 
 

No comments:

Post a Comment